| Ripoti hii na matokeo ya utafiti wa watoto 512, wenye umri kati ya miaka 7 - 14 kutoka mikoa kumi ya Tanzania Bara. Utafiti huu ni wa kwanza wa aina yake kwa Tanzania, unatoa uelewa wa watoto kwa masuala yanayohusiana na elimu: huduma za shue kama vile afya, upatikanaji wa maji na chakula, vitabu vya kiada, walimu, nidhamu, gharama za ziada na matamanio ya watoto katika kuboresha elimu.
UNICEF…
Category: R&AWG Publications,