Posted: Wednesday March 30, 2011 12:39 PM BT

Mheshimiwa Waziri Mkuu Mizengo Peter Pinda afungua warsha ya watafiti (Annual Research Workshop) iliyoandaliwa na REPOA kwenye hoteli ya White Sands jijini Dar leo


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Utafiti Kuhusu Kuondoa Umaskini (REPOA), Profesa Esther Mwakikambo (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa REPOA, Profesa Samweli Wangwe baada ya kufungua mkutano wa Taasisi hiyo kwenye hoteli ya Whitesands jijini Dar es Salaam.
recommend to friends
  • Google+
  • PrintFriendly